| Artist | Laban John |
| Category | Tanzanian Music |
| Genre | Afrobeats |
| Released | 2025 |
| Duration | 04:29 |
Tanzanian singer-songwriter and talented artist, Laban John, introduces a new song titled "PENDO".
The well enchanted song serves as Laban John's latest entry this year following previously released songs.
Listen, Share and Download below.
Laban John PENDO Lyrics:
Kila saa kila dakika, Mungu huonyesha vile anatupenda
Uwepo wake ni uhakika, bila kujali mangapi tumetenda
Hata kuwe na miiba bado maua yatachanua
Hata tupate shida tunazo siku kufurahia
Haya yote anayotupa, ni sababu ya kueleza
Hata pumzi tunayovuta ni upendo tu wake Mungu
Yote anayotupa ni sababu ya kueleza
Hata pumzi tunayovuta yatupasa kulieleza
Pendo la kweli, huvumilia, pendo la kweli halihusudu

Pendo la kweli halina majivuno, halitafuti mambo yake lenyewe
Halihesabu mabaya na kasoro, Pendo la kweli ni la Mungu mwenyewe

Ni mara ngapi amekupa nafasi, kumbuka
Na mara ngapi amelinda uhai, ukavuka
Ni mara ngapi amekupa nafasi, kumbuka
Na mara ngapi amelinda uhai, ukavuka
Maana wapo hawajafikia ulipo na wengine hawajaiona leo
Ni pendo la Mungu na Neema yake nawe onyesha Pendo kwa wengine
Haya yote anayotupa, ni sababu ya kueleza
Hata pumzi tunayovuta ni upendo tu wake Mungu
Yote anayotupa ni sababu ya kueleza
Hata pumzi tunayovuta yatupasa kulieleza
Pendo la kweli, huvumilia, pendo la kweli halihusudu
Pendo la kweli, huvumilia, pendo la kweli halihusudu
Pendo la kweli halina majivuno, halitafuti mambo yake lenyewe
Halihesabu mabaya na kasoro, Pendo la kweli ni la Mungu mwenyewe
Pendo la kweli halina majivuno, halitafuti mambo yake lenyewe
Halihesabu mabaya na kasoro, Pendo la kweli ni la Mungu mwenyewe
DOWNLOAD PENDO by Laban John MP3 [10.33 MB]